SIFA KUMI ZA MPENZI WA KWELI


1: Mpenzi wa kweli ni yule ambaye hatangoja kujua nini unahitaji yaani hana sababu ya kusubiri kuombwa ndiyo atoe msaada.

2: Ni yule atakayejua wakati gani huna furaha au una furaha na atakuwa na wewe kwa hali zote mbili.

Kama zamani by Mwana FA ft Mandojo & domokaya & kilimanjaro band (njenje)

[Intro - Mwana FA]
Keeping the good music alive
Thats my job!
I like the way y'all lookin' tonight
Wow!
This is the..eer..kind of music you can twist up to
I mean like..er..to the left, to the right
Step it up, to the right, C'mon!
Left, right

Lady JayDee=Yahaya



Yahaya unaishi wapi
Kwani jina lako halisi nani Yahaya
eeehh
Oooh Yahaya, Oooh Yahaya, Oooh
Yahaya
Maskani yako Kinondoni
Nyumba namba haijulikani Yahaya
eeeehh
Oooh Yahaya, Oooh Yahaya

Hakunaga=Sumalee

Suma Lee
hakunagaaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaa, zaidi yangu mi na wewe

Mapenzi Yana-run Dunia=Ally Kiba

Sikatai yule muonyesha wivu ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenza
lakini pia uvumilivu na vitendo vya karaha vilimuumiza
mwenzio mimi ni mtulivu na kuiba mali ya mtu sijafunzwa
ona dhambi lawama ulonipa mimi leo inaniuma eh